Guardians of the Galaxy (filamu)
Mandhari
Guardians of the Galaxy ni filamu ya mashujaa ya Marekani iliyotengenezwa na Marvel Comics na kuachiwa na studio za Marvel na kusambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures.
Ni filamu ya kumi katika ulimwengu wa filamu wa Marvel (MCU).
Filamu hii ilitayarishwa na James Gunn, ambaye aliiandika pamoja na Nicole Perlman.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guardians of the Galaxy (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |