Chris Hemsworth
Jump to navigation
Jump to search
Chris Hemsworth (aliyezaliwa Agosti 11, 1983) ni mwigizaji wa filamu wa huko Australia. Anajulikana kwa ushiriki wake kama Thor katika filamu ya Thor, Avengers, na Thor: The Dark World. Hemsworth alizaliwa Agosti 11, 1983 huko Melbourne, Victoria, Australia. Yupo katika ndoa na Elsa Pataky tangu mwaka 2010. Wana binti, Rose Hemsworth.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chris Hemsworth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |