Nenda kwa yaliyomo

Tom Holland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tom Holland
Tom Holland

Thomas Stanley Holland (aliyezaliwa Juni 1, 1996) ni mwigizaji wa Uingereza na mcheza ngoma. Anajulikana kwa kucheza Spider-Man katika Marvel Cinematic Universe (MCU) Captain America: Civil War (2016), Spider-Man: Homecoming (2017), na Avengers: Infinity War (2018).

Mnamo mwaka 2003, Thomas alibainika kuwa na ugonjwa wa kiakili wa kutoweza kusoma na kuandika.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tom Holland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.