Assita Kanko
'
Assita Kanko | |
---|---|
Assita Kanko | |
Amezaliwa | Julai 14, 1980 Godyr, Burkina Faso |
Kazi yake | mwandishi wa habari wa Ubelgiji |
Assita Kanko (alizaliwa Godyr, Burkina Faso, Julai 14, 1980) ni mwandishi wa habari wa Ubelgiji, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa ambaye alichaguliwa kuwa mwanachama wa Bunge la Ulaya mwaka 2019 linalowakilisha chama cha New Flemish Alliance.[1].
Biografia
[hariri | hariri chanzo]Kanko alifanyiwa ukeketaji akiwa mtoto.
Kanko pia amefanya kazi shirika la AHA Foundation lililoanzishwa na Ayaan Hirsi Ali lenye lengo la kupambana na ukeketaji kwa wanawake, ndoa za kulazimishwa na ukiukwaji wa haki za binadamu.[2], Baada ya mauaji ya mwandishi wa habari mwenye ushawishi Norbert Zongo, alisoma uandishi wa habari na akawa mwanaharakati wa haki za binadamu.[3] baadae alihamia Uholanzi mwaka 2001 ili kujifunza uandishi wa habari na baadaye akaishi Brussels. Akawa raia wa Ubelgiji mwaka 2008..[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ News, Flanders (27 Mei 2019). "Far-right and far-left gains in Belgian European Parliament elections". vrtnws.be. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2019.
{{cite web}}
:|last=
has generic name (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Survivor of FGM, Assita Kanko, Fights for Human Rights for Everyone". 27 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Alleen Elvis blijft bestaan - Assita Kanko | VRT NU (kwa Kiholanzi), iliwekwa mnamo 2019-12-14
- ↑ "Assita Kanko: "Almost ten years Belgian and I am still waiting for the party"". 15 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Assita Kanko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |