Asante Kwasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Kwasiasante.jpg
Asante Kwasi

Asante Kwasi ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ghana ambaye aliwahi kuchezea timu za Lipuli F.C. na Simba S.C. zilizopo nchini Tanzania.

Anasifika kwa uwezo wake wa kufunga magoli kwa kichwa, mipira ya adhabu na kwa kutumia mguu wake wa kushoto. Alifanikiwa kufunga goli lake kwa timu ya Simba S.C. katika mechi yake ya kwanza tu ambapo ilikuwa dhidi ya Singida United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017-2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asante Kwasi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.