Apostrofi
Apostrofi (pia ritifaa) ni alama ya pekee inayotumika katika maandishi. Umbo lake ni '.
Baadhi ya maneno yenye apostrofi ni ng'ombe na kung'ata.
Kwa Kiingereza ni alama inayotumika zaidi kuonyesha hasa hali ya jambo kuwa mali ya fulani:
- Mike's car = gari la Mike
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Apostrofi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |