Nenda kwa yaliyomo

Antonio Meucci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antonio Meucci mwaka 1878

Antonio Meucci (Firenze, Italia, 13 Aprili 1808New York, Marekani, 18 Oktoba 1889) alikuwa Mwitalia aliyeanzisha matumizi ya simu toka mwaka 1871 huko Marekani, kabla ya Alexander Graham Bell kujitambulisha serikalini mwaka 1876 kamwa mgunduzi wa njia hiyo ya mawasilianoanga.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Meucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.