Stibi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Antimoni)
Stibi au Antimoni (stibium) | |
---|---|
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
| |
Jina la Elementi | Stibi au Antimoni (stibium) |
Alama | Sb |
Namba atomia | 51 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 121.760 |
Valensi | 2, 8, 18, 18, 5 |
Densiti | 6,697 g/cm³ kufuatana na alotropia zake |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 903.78 K (630.63 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 1860 K (1587 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 7 · 10-5 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo | Stibi ni chaguo la jedwali ya elementi ya KAST, "wanja wa manga" hutajwa katika M-J SSE); lugha nyingi duniani hutumia neno antimon.
Kuna alotropia nne |
Antimoni au Stibi (kutoka kigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 51 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 121.760.
Tabia
[hariri | hariri chanzo]Elementi hutokea kwa alotropia nne na ile ya kawaida ni ya metaloidi yenye rangi buluu-nyeupe. Alotropia za rangi njano na nyeusi ni simetali tena si thabiti.
Matumizi
[hariri | hariri chanzo]Matumizi yake ni katika rangi, madawa ya kuzuia moto, aloi nyingi na kutengeneza kompyuta.
Kihistoria kampaundi ya stibi (antimon) ilitumiwa kama wanja (kohl) yaani rangi ya upara.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |