Densiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Densiti ni kipimo cha kulinganisha masi na mjao wa gimba fulani. Alama yake ya kifizikia huwa ni ρ (rho).

Gimba lenye densiti kubwa huwa na mada nyingi katika mjao fulani. Gimba lenye densiti dogo huwa na mada kidogo katika mjao uleule. Densiti kubwa husababisha ya kwamba sisi tunaita kitu "kizito".

Vipimo kwa kawaida vya densiti huwa ni g/cm3 na kg/m3.

Maji yasiyo na chumvi ndani yake huwa na densiti 1. Lita 1 huwa na masi ya kilogramu 1.

Fomula yake ni

au
Science.jpg Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Densiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.