Nenda kwa yaliyomo

Simetali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika Kemia, simetali ni zile tindikali ambazo hasa zinakosa sifa au tabia za metali. Kifizikia simetali zinakuwa na haja ya joto kidogo ili kuyeyuka, na uzito ni ndogo. Simetali huwa za kungaaikiwa katika hali ya yabisi, uwezo mdogo wa kupitisha umeme na kupitisha joto.

Zina tabia ya kupokea au kupoteza elektroni pale zinapotaka au kuungana na elementi au kampaundi. Kuna elementi kumi na saba ambazo ni simetili ambazo nyingi zake ni gesi. Mfano wa simetali gesi ni oksijeni, haidrojeni, florini, klorini, argoni, kriptoni, senoni na radoni. Moja ni kimiminika (bromini), na chache ni yabisi, kwa mfano kaboni, fosforasi, salufa, seleni.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simetali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.