Antero de Abreu
Mandhari
Antero Alberto Ervedosa de Abreu (hujulikana pia kama Antero Abreu; 22 Februari 1927 – 15 Machi 2017[1]) alikuwa mwanasheria nchini Angola, tena mwanasheria mkuu, balozi na mwandishi wa vitabu na mashairi.
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Antero de Abreu alizaliwa Luanda, Angola,[2] na kumaliza elimu yake ya msingi,elimu ya upili katika mji wa Luanda,alijifunza masuala ya sheria katika nchi ya Ureno akianzia Coimbra na baadae Lisbon .[2][1] akiwa Lisbon kama mwanafunzi alikua kiongozi wa Casa dos estudantes do Império.[3]
Ni mwanzilishi wa umoja wa waandishi wa Angola,[4] pia chuo cha sanaa na sayansi ya jamii.[1]
Antero alikuwa mwanasheria mkuu wa jamhuri yaAngola na balozi katika nchi ya Italia.[2]
Kazi zilizochapishwa
[hariri | hariri chanzo]- A tua Voz Angola (Your Voice Angola)(1978)
- Poesia Intermitente (Intermittent Poetry) (1978)
- Permanência (Permanence) (1979)
- Textos sem Pretexto (Texts without Pretext) (1992)[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Angola: Writers Association announces death of Antero de Abreu". ANGOP. 16 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-08. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 2.2 "Angola: Writers Association announces death of Antero de Abreu", Angola Press, March 16, 2017. Retrieved on 2020-04-27. Archived from the original on 2019-03-08.
- ↑ 3.0 3.1 "Biografia de Antero Alberto de Abreu". www.lusofoniapoetica.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-16. Iliwekwa mnamo 2018-02-20.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Biografia de Antero Alberto de Abreu". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-16. Iliwekwa mnamo 2020-04-27.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antero de Abreu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |