Angel Correa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Angel Correa akijaribu kuwatoka timu pinzani

Angel Correa (amezaliwa Rosario huko Argentina tarehe 3 Machi 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Atletico Madrid huko Hispania. Nafasi yake ya uchezaji ni mshambuliaji anayecheza winga wa kushoto.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angel Correa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.