Rosario

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Rosario ni mji uliopo mashariki-kati mwa nchi ya Argentina, takriban km 300 kutoka mji wa Buenos Aires. Ni mkuu wa Santa Fe Province. Na kwa mwaka wa 2008, mji wa Rosario una wakazi wapatao 1,000,000, na kuufanya uwe mji wa tatu kwa ukubwa katika Argentina. Mji upo katika eneo la mto mashuhuri wa Argentina - mto Parana.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Argentina-map-flag-small.png Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rosario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.