Andrew Robertson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Robertson akiwa Dundee united

Andrew Robertson (alizaliwa 11 Machi 1994) ni mchezaji wa soka wa Scotland ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool F.C. na timu ya taifa ya Scotland.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Robertson alianza kazi yake na Queen Park FC huko Scotland mwaka 2012 kabla ya kujiunga na Dundee United mwaka ujao. Alijiunga na Hull City mwezi Julai 2014 kwa ada ya £ milioni 2.85, baadae alijiunga na Liverpool mwezi Julai 2017 kwa ada ya £ milioni 8.

Aliisaidia timu yake kufika mpaka fainali ya ligi kuu ya mabingwa wa Ulaya mwaka 2018-19.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Robertson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.