Andreas Cornelius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Andreas Cornelius

Andreas Evald Cornelius (alizaliwa 16 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Atalanta iiliyopo nchini Italia na timu ya taifa ya Denmark.

Atalanta[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2 Mei 2017, ilitangazwa kuwa Andreas Cornelius amejiunga na klabu ya Atalanta iiliyopo nchini Italia katika ligi ya Serie A kwa ada ya karibu 3.5 milioni.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andreas Cornelius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.