Ander Herrera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ander Herrera

Ander Herrera Agüera (alizaliwa 14 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Hispania.

Alianza kazi yake huko Real Zaragoza na baadae alihamia Athletic Bilbao mwaka 2011 na kisha Manchester United kwa 36 milioni mwaka 2014. Aliitwa mchezaji wa klabu mwaka huo msimu wa 2016-17 baada ya jitihada za Manchester United kumtaka Herrera kushindikana na alihamia mwaka mmoja baadae.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ander Herrera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.