Amie Bojang-Sissoho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Amie Bojang-Sissoho ni mwandishi wa habari wa Gambia, mwanaharakati wa haki za wanawake na mwanasiasa. Aliibuka mkurugenzi wa vyombo vya habari na uhusiano wa umma wa mwanamke wa kwanza wa Gambia kufuatia kuteuliwa na rais Adama Barrow[1].

Usuli na elimu[hariri | hariri chanzo]

Bojang-Sissoho alizaliwa huko Gunjur. Baba yake alikuwa Imam Hatab Bojang(1937-1984)[2] na mama yake alikuwa Ya Khan Jobe. Bojang-Sissoho alisomea shahada ya kwanza katika masomo ya Media na utamaduni katika chuo kikuu cha Southampton, Uingereza[3][4].

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kazi yake ya kitaalam ya huduma ya redio na televisheni ya Gambia (GRTS) na alifanya kazi huko kwa muda mrefu. Alikuwa msimamizi wa kampeni ya urais wa Isatou Touray katika uchaguzi wa urais wa Gambia 2016 hadi Touray alipojiondoa kugombea na kumuunga mkono Adama Baroow, ambaye alishinda uchaguzi. Baada ya kuchukua nguvu, Barrow alimtaja Amie Bojang kuwa mkurugenzi wa habari na uhusiano wa Umma wa serikali yake. Bojang-Sissoho ni mratibu wa programu ya kamati ya mazoea ya jadi ya Gambia (GAMCOTRAP). Alikamatwa pamoja na Touray, mnamo Oktoba 11, 2010, kwa mashtaka ya ubadhirifu wa euro 30,000 na kufungwa katika gereza la Mile 2 lakini waliondolewa mashtaka yote dhidi ya korti[5][6][7]<ref>{{Cite web|url=https://www.fidh.org/en/region/Africa/gambia/THE-GAMBIA-Justice-prevails-in-a-12427%7Ctitle=THE[dead link] GAMBIA: Justice prevails in a two year-long judicial harassment case against two Women Human Rights Defenders|website=Inte.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amie Bojang-Sissoho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://standard.gm/amie-bojang-sissoho-director-of-press-at-state-house/
  2. Profiles in Faith: The Life and Times of the late Sheikh Hatab Bojang (June 18, 2017).
  3. http://www.africanfeministforum.com/two-prominent-gender-and-human-rights-defenders-detained-in-the-gambia-dr-isatou-touray-and-amie-bojang-sissoho/
  4. https://web.archive.org/web/20180404174302/http://www.gamcotrap.gm:80/index.php/staff-profile/staff-profile
  5. Gamcotrap’s Isatou Touray, Amie Bojang freed - The Point.
  6. Gambian Journalists, Support Our Director of Press Amie Bojang-Sissoho (June 25, 2017).
  7. The Gambia: Call on the Government of The Gambia to ensure a fair trial for anti-FGM activists, Dr. Isatou Touray and Amie Bojang-Sissoho..