Allan Gibbard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Allan Fletcher Gibbard (alizaliwa Providence, kisiwa cha Rhode Island[1], 7 Aprili 1942) ni Profesa mstaafu wa Falsafa katika Chuo Kikuu cha Michigan, Ann Arbor. Gibbard ametoa mchango mkubwa kwenye nadharia ya kisasa ya maadili. Pia amechapisha makala katika falsafa ya lugha, metafizikia, na nadharia ya chaguzi katika jamii.[2]

Maisha na kazi[hariri | hariri chanzo]

Allan Fletcher Gibbard alipata digrii yake ya hisabati kutoka Chuo cha Swarthmore mnamo 1963 na katika fizikia na falsafa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The international who's who 2011. (in English). London: Routledge. 2010. ISBN 978-1-85743-546-7. OCLC 502032895. 
  2. Gibbard, Allan (1973). "Manipulation of Voting Schemes: A General Result". Econometrica 41 (4): 587–601. ISSN 0012-9682. doi:10.2307/1914083. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allan Gibbard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.