Alexis Sanchez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanchez akiichezea timu yake ya taifa ya Chile mwaka 2017

Alexis Sanchez (amezaliwa tarehe 19 Desemba 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Chile.

Alianza kuchezea klabu ya Barcelona F.C. kabla ya kusajiliwa na klabu iliyoko Uingereza iitwayo Arsenal kabla ya kusajiliwa na wababe wa Old Trafford. Mpaka sasa Alexis anaichezea timu ya Manchester United, ila aliondoka kuelekea italia kujiunga na lnternazionale kwa mkopo.

Alexis Sanchez alianzia mpira nyumbani kwao Tocopila (Chile) kabla ya kusajiliwa na Colocolo ya nyumbani kwao.

Baadae alisajiliwa na Udinese ya Italia kabla ya kupelekwa kwa mkopo huko River Plate ya Argentina.

Alirejea Udinese kabla ya kusajiliwa na Barcelona.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexis Sanchez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.