Nenda kwa yaliyomo

Old Trafford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Old Trafford

Old Trafford ni uwanja wa mpira wa miguu wa nyumbani wa timu ya Manchester United.

Ukiwa na uwezo wa kuchukua watu 74,994, Old Trafford ni uwanja mkubwa zaidi wa klabu nchini Uingereza, na wa kumi na moja kwa ukubwa zaidi katika bara la Ulaya.

Uko umbali wa kilomita 3 kutoka Old Trafford Cricket Ground na karibu na tram stop.

Old Trafford pamekuwa nyumbani kwa Manchester United tangu mwaka 1910.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Old Trafford kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.