Aleksanda II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aleksanda II wa Aleksandria (alifariki 14 Februari 729) alikuwa mmonaki, halafu patriarki wa 43 wa Kanisa la Kikopti kuanzia mwaka 704 hadi kifo chake, kipindi cha dhuluma kubwa kutoka kwa Waislamu waliotawala Misri.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au 1 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.