Alejandro Gómez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Alejandro Gómez ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye pia ni mchezaji wa klabu ya Italia ya Atalanta

Alejandro Darío Gómez (alizaliwa tarehe 15 Februari mwaka 1988) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama mchezaji wa mbele/winga au nafasi ya kiungo wa kushambulia wa klabu ya Italia iitwayo Atalanta na timu ya taifa ya Argentina.

Gómez ni raia wa Argentina na Italia, baada ya kupata uraia wa Italia mnamo tarehe 14 Mei mwaka 2016, kwa sababu mkewe ni raia wa Italia.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alejandro Gómez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.