Alberto Moreno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Alberto Moreno.

Alberto Moreno (alizaliwa 5 Julai 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Liverpool F.C. ya nchini Uingereza ambaye anacheza katika nafasi ya beki wa kushoto.

Alianza kuichezea klabu ya Sevilla ya nchini Hispania mwaka 2012 hadi mwaka 2014.

Mwaka 2014 alihamia klabu ya Liverpool ambayo anaichezea mpaka sasa.

Moreno ameichezea Liverpool mechi 88 na kushinda magoli matatu.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberto Moreno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.