Aisha Rateb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Aisha Rateb
Picha ya Aisha Rateb

Aisha Rateb (22 Februari 1928 - 4 Mei 2013) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa wa Misri, pia yeye ni mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Misri kua balozi. Pia alikuwa profesa aliyesimamia sheria za kimataifa katika chuo kikuu cha Kairo.[1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Rabet alizaliwa mjini Kairo katika familia yenye uwezo wa kati, na iliyoelimika[2]

Baada ya kusoma katika vyuo vya kati, alienda kusomea Lugha katika chuo kikuu cha Kairo, baada ya wiki mbili za masomo chuoni Kairo alihamia kusoma sheria.[2] Reteb alihitimu katika chuo kikuu cha Kairo mwaka 1949, baada ya hapo aliendelea kujiendeleza na elimu yake mjini Paris na kisha kupokea Shahada ya Uzamivu ya sheria mwaka 1955.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aisha Rateb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.