Adejoke Lasisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adejoke Lasisi
Amezaliwa
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mwanamitindo


Adejoke Lasisi ni msanii, mwanamitindo, na mwanamazingira wa Nigeria.[1] Anajulikana kwa maendeleo ya ubunifu wa mitindo na bidhaa zilizotengenezwa kwa mabaki ya nguo.[2] Ni mwanzilishi na mkurugenzi wa Planet 3R and Jokelinks shule ya ususi.[3][4][5]

Elimu yake ya mwanzo[hariri | hariri chanzo]

Akiwa na miaka 9 Adejoke alikuwa ameanza kusuka na wazazi wake.[6] Aliudhuria masomo yake katika chuo kikuu cha [Obafemi Awolowo University] na kupata shahada ya kwanza ya Uchumi. Pia anacheti chaWajasiriamali usimamizi kutoka kituo cha maendeleo ya biashara ukoLagos Nigeria.[7]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwezi wa 7, 2020, Adejoke alishinda tuzo ya Micro, Small and Medium Enterprises Development Act, (MSMEs) Tuzo ya mwaka,[8][9] an event which was well attended by state governors and ministers.[10] Alijulikana na kufurahiwa na Rais Muhammadu Buhari Kama mwamasishaji kijana katika sherehe za katikati ya mwaka [Siku ya vijana|Siku ya kitaifa ya vijana] Mwezi wa kumi na moja 1, 2020.[11]

Pia alishinda tuzo ya [Eleven Eleven Twelve Foundation]'s Africa Green Grant Award mwezi wa kumi na moja 14, 2020 kweye maimu wa pili wa kuboresha mazingira.[12]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Adejoke Lasisi spins abandoned Aso Oke into amazing accesories". Pulse Nigeria (kwa en-US). 2018-10-24. Iliwekwa mnamo 2020-09-24. 
  2. Adeoye, Olusola (2020-07-16). "VP Osinbajo: President Buhari's financial support for MSMEs very robust". TODAY (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-01-01. 
  3. "The Jokelinks Clothing Limited: Creation of Weaving Schools in Africa". Startup.Info. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-28. Iliwekwa mnamo 2021-03-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  4. "Adejoke Lasisi". F6S. Iliwekwa mnamo 2020-09-24. 
  5. Olajobi, Olushola O. (2020-08-10). "ADEJOKE LASISI; REINVIGORATING ASO-OKE THROUGH INNOVATIVE SUSTAINABILITY". Africa Palette (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-09. 
  6. Published. "VIDEO: Growing up in a dirty environment inspired me to start recycling company- Adejoke Lasisi". Punch Newspapers (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-03-09. 
  7. "African Daughter : Adejoke Lasisi.". Samike ndisya (kwa Kiingereza). 2017-10-23. Iliwekwa mnamo 2021-03-09. 
  8. "MSMEs Wahindi wa tuzo walipokea magari,fedha tasliu baada ya toleo la kawaida". Daily Trust (kwa Kiingereza). 2020-07-21. Iliwekwa mnamo 2020-09-24. 
  9. "Osinbajo lists support schemes for MSME to survive COVID-19 effects". Pulse Nigeria (kwa en-US). 2020-07-17. Iliwekwa mnamo 2020-09-24. 
  10. Adeoye, Olusola (2020-07-16). "VP Osinbajo: President Buhari's financial support for MSMEs very robust". TODAY (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-09-24. 
  11. "Buhari celebrates young Nigerian innovators". Premium Times (kwa Kiingereza). 2020-11-01. Iliwekwa mnamo 2020-12-29. 
  12. "EETF showcases Young African talents at Africa Green Awards 2020". Nigerian Tribune (kwa Kiingereza). 2020-11-17. Iliwekwa mnamo 2020-12-29. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adejoke Lasisi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.