Nenda kwa yaliyomo

Adamson Sigalla Norman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adamson Sigalla Norman (alizaliwa 10 Julai 1970) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Aliwahi kuwa katika kamati ya bunge la Afrika mashariki kuanzia 2001 hadi 2006. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Makete kwa miaka 20152020. [1] Amehitimu shahada ya uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).

  1. https://peoplepill.com/people/norman-king-3/
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adamson Sigalla Norman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.