Achraf Hakimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Achraf Hakimi

Achraf Hakimi Mouh (anajulikana kama Achraf; alizaliwa tarehe 4 Novemba mwaka 1998) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kwenye klabu ya Ujerumani iitwayo Borussia Dortmund, kwa mkopo kutoka Real Madrid, na timu ya taifa ya Moroko.

Achraf Hakimi pia anaweza kucheza kama beki wa kati.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Achraf Hakimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.