Acaste

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Acaste (maana yake ni "kutokuwa sawa" au "kutokuwa kawaida"), alikuwa mmoja wa mabinti wa miungu ya bahari ambayo hujulikana kama Oceanus na Tethys. [1]

Familia[hariri | hariri chanzo]

Cerceis ni mzuri kwa muonekano na mwenye macho laini, Eudora, Tyche, Amphirho, Ocyrrhoe, Styx ambaye ndiye mkuu wa wote. Hawa ndio binti wakubwa waliotokea Oceanus na Tethys; lakini inasemekana kuna mengi zaidi ya hayo.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Acaste alionekana katika hadithi moja tu, pamoja na dada yake, yeye alikuwa mmoja wa masahaba wa Persephone wakati msichana alikuwa katekwa nyara na Hades ambaye ni mungu wa Tuku. Persephone alielezea utekwaji nyara wake kwa mama yake Demeter kama anavyoeleza:

Anasema tulikuwa wote (Persephone na wenzake) wakicheza kwenye maeneo yenye uwanda mzuri, ambapo walikua Leucippe, Phaeno, Electra, Ianthe, Melita, Rhodea, Callirhoe, Melobosis, Tyche na Ocyrhoe, sawa kama maua, Chryseis, Ianeira, Acaste na Admete na Urania.
Baadae Pallas wanaanza kucheza mchezo wa mishale na Artemi huku wakifurahia kwa pamoja. Anaendelea kusema tulikuwa tukicheza na kukusanya maua mazuri mikononi mwetu,kulikuwa na maua ya kushangaza kuona, ambayo eneo kubwa la ardhi pana ilisababisha kuonekana njano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

    • Hesiod. Theogony. Translation by Hugh G. Evelyn-White, Cambridge, Massachusetts., Harvard University Press; London, William Heinemann Ltd. 1914.
    • Homeric Hymns. To Demeter. Translation by Hugh G. Evelyn-White, Cambridge, Massachusetts., Harvard University Press; London, William.