Abdallah Ally Mtolea
Mandhari
Abdallah Ally Mtolea (amezaliwa 3 Juni 1976 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Temeke kwa miaka 2015 – 2020 akiwa mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. [2]
Tarehe 15 Novemba 2018 amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge pamoja na nafasi zote za uongozi katika chama cha CUF.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.
- ↑ https://peoplepill.com/people/abdallah-mtolea/
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdallah Ally Mtolea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |