Aïssa Mandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aissa Mandi

Aïssa Mandi (alizaliwa 22 Oktoba 1991) ni mchezaji wa soka wa Algeria ambaye sasa anacheza katika klabu ya Hispania iitwayo Real Betis na timu ya taifa ya Algeria. Anaweza kucheza kama beki wa pembeni na hata beki wa kati

Mandi alicheza mechi yake ya kimataifa kwa Algeria mwezi Machi 2014. Alikuwa mwanachama wa timu ya Algeria katika Kombe la Dunia la FIFA la 2014 huko Brazil na 2015 Kombe la Mataifa ya Afrika yaliyofanyika huko Guinea ya Equatorial.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aïssa Mandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.