Alama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama asili katika mazingira inayodokeza na kuthibitisha uwepo wa mtu hivi karibuni.
Alama ya hatari ya kibiolojia haihusiani nayo kabisa.

Alama (kwa Kiingereza "sign"[1]) ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k.

Baadhi yake ni asili, kwa mfano radi ya umeme na dalili za ugonjwa.

Baadhi zimetungwa na binadamu, kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya mikono wakati wa kuongea.

Tanbihi

  1. New Oxford American Dictionary