Nenda kwa yaliyomo

213 (kundi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
213
Asili yake Long Beach, California, U.S.
Aina ya muziki R&B, west Coast hip hop, gangsta rap, G-Funk
Kazi yake Rap
Miaka ya kazi 1991 - mpaka sasa
Studio TVT , Doggystyle Records / Priority Records (2009-Present)
Tovuti www.213music.net
Wanachama wa sasa
Snoop Dogg
Nate Dogg
Warren G

213 ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Long Beach, California likiuanganishwa na msanii kama vile Snoop Dogg, Warren G na Nate Dogg.[1][2]

Mwaka wa 2004, waliungana tena na kutoa albamu ya The Hard Way, ambayo ilifikia #4 katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Albamu ilitoa single kama vile "Groupie Luv" na "So Fly". Jina la kundi linatokana na kodi ya eneo la Long Beach kwa kipindi chicho.[3]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
  • "Groupie Luv"
  • "So Fly"

Mionekano mingine

[hariri | hariri chanzo]
Wimbo Albamu Albamu ya msanii Waimbaji wengine (mbali na wasanii kutoka katika albamu) Mwaka
"Deeez Nuuuts" The Chronic Dr. Dre Daz Dillinger 1992
"Ain't No Fun (If the Homies Can't Have None)" Doggystyle Snoop Dogg Kurupt 1994
"Groupie" Tha Doggfather Snoop Dogg Tha Dogg Pound, Charlie Wilson 1996
"Friends" G-Funk Classics, Vol. 1 & 2 Nate Dogg 1998
"Neva Gonna Give It Up" Tha Streetz Iz a Mutha Kurupt Soopafly, Tray Deee 1999
"Don't Tell" No Limit Top Dogg Snoop Dogg Mausberg 1999
"Game Don't Wait" I Want It All Warren G 1999
"Game Don't Wait (Remix)" "Game Don't Wait" (Single) Warren G G Child, Xzibit 1999
"Can't Go for That (Remix)" A Nu Day Tamia Missy Elliott 2000
"Yo' Sassy Ways" The Return of the Regulator Warren G 2001
"From Long Beach 2 Brick City" Paid tha Cost to Be da Boss Snoop Dogg Redman 2002
"PYT" In the Mid-Nite Hour Warren G 2005
  1. "Warren G". Rolling Stone. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-21. Iliwekwa mnamo 2007-10-24. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. John Bush. "Nate Dogg". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2007-10-24.
  3. "213 biography". MTV.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-19. Iliwekwa mnamo 2007-10-24.