1071
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 10 |
Karne ya 11
| Karne ya 12
| ►
◄ |
Miaka ya 1040 |
Miaka ya 1050 |
Miaka ya 1060 |
Miaka ya 1070
| Miaka ya 1080
| Miaka ya 1090
| Miaka ya 1100
| ►
◄◄ |
◄ |
1067 |
1068 |
1069 |
1070 |
1071
| 1072
| 1073
| 1074
| 1075
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1071 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Mfalme William Mshindi anamaliza uvamizi wa Uingereza ulioanza 1066 kwa mapigano ya Hastings
- Aprili — Mji wa Bari uliokuwa eneo la mwisho lililotawaliwa na Milki ya Bizanti nchini Italia unatekwa na jeshi ya Wanormandi chini ya Robert Guiscard.
- 26 Agosti — Jeshi la Milki ya Bizanti linashindwa na Waturuki Waseljuki chini ya mtemi wao Alp Arslan kwenye mapigano ya Manzikert katika Anatolia ya mashariki. Sehemu kubwa ya Asia Ndogo inashikwa na Waturuki na kukaa chini ya utawala wa kiislamu.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: