Wilaya ya Hai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Hai (kijani) katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wilaya ya Hai ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Hai ilihesabiwa kuwa 259,958 [1]. Katika wilaya hiyo Wachaga wengi wanaishi ambao huzungumza lahaja tofauti, kama Wamachame na Wamasama.

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Hai - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania
Kata zifuatazo bado ni pamoja na zile za wilaya mpya ya Siha.
Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Siha saidia kuhariri kigezo hiki
Flag of Tanzania.svg

Hai Mjini | Machame Kaskazini | Machame Kusini | Machame Magharibi | Machame Uroki | Masama Kusini | Masama Magharibi | Masama Mashariki | Masama Rundugai | Siha Kaskazini | Siha Kati | Siha Magharibi | Siha Mashariki | Machame Mashariki |


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Hai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.