Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kilimanjaro)
| Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Kiingereza: Kilimanjaro International Airport |
|||
|---|---|---|---|
| IATA: JRO – ICAO: HTKI – WMO: 63791 |
|||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki/Opareta | Kampuni ya Maendeleo ya Kilimanjaro Airport (KADCO) | ||
| Mahali | Wilaya ya Hai, Tanzania | ||
| Kitovu cha | Precision Air | ||
| Mwinuko Juu ya UB |
2,932 ft / 894 m | ||
| Anwani ya kijiografia | |||
| Tovuti | |||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara |
|
| m | ft | ||
| 09/27 | 3,600 | 11,811 | Lami |
| Takwimu (2011) | |||
| Idadi ya abiria | 650,000 | ||
Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (Kilimanjaro International Airport - KIA) kinahudumia eneo la mlima Kilimanjaro pamoja na miji ya Moshi na Arusha katika Tanzania ya kaskazini. .
Ni kiwanja kidogo kinachofikiwa hasa na ndege za Air Tanzania. Makampuni ya kimatifa yanayohudumia KIA ni hasa KLM kutoka Amsterdam na Ethiopian Airlines kutoka Addis Abbaba.
Mwaka 2004 abiria 294.750 walitumia uwanja huu. Hivyo imekuwa kiwanja cha ndege cha pili katika Tanzania baada ya kiwanja cha Dar es Salaam.
Makampuni ya ndege na vifiko[hariri]
- Airkenya Express (Nairobi)
- Air Tanzania (Dar es Salaam, Mwanza, Zanzibar)
- Bankair (Zanzibar)
- Condor Airlines (Frankfurt, Mombasa)
- Ethiopian Airlines (Addis Ababa, Dar es Salaam)
- XL Airways
- Kenya Airways (Nairobi, Mombasa)
- KLM Royal Dutch Airlines (Amsterdam, Dar es Salaam)
- Precision Air (Dar es Salaam, Mombasa, Mwanza, Nairobi, Zanzibar)
- Regional Air Services (Tanzania)
- Rwandair Express (Kigali)
- South African Airways (Johannesburg) [imeanza huduma Julai 2007]
Viungo vya Nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|||||||||||