Stanislaus Papczynski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Mt. Stanislaus Papczynski.

Stanislaus Papczynski (18 Mei 163117 Septemba 1701) alikuwa mtawa padri wa Polandi.

Baada ya kuishi katika shirika la Waskolopi, alianzisha la kwake, Wanamaria wa Kukingiwa Dhambi Asili, ambalo lilikuwa la kwanza kuanzishwa kwa wanaume nchini Polandi[1].

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 16 Septemba 2007 halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 5 Juni 2016.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.