Mkoa wa Kivu Kusini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Kivu Kusini Sud-Kivu |
|
| Mahali pa Mkoa wa Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
| Anwani ya kijiografia: 02°30′S 28°52′E / 2.5°S 28.867°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Wilaya | 8 |
| Mji mkuu | Bukavu |
| Serikali | |
| - Gouverneur | Célestin Cibalonza Byaterana |
| Eneo | |
| - Mkoa | 65,070 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 2,837,779 |
Mkoa wa Kivu ya Kusini ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Liko upande wa Mashariki wa nchi likipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,837,779. Mji wake mkuu ni Bukavu.
Picha za Kivu Kusini [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kivu Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
| +/- | |
