Mkoa wa Ubangi Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Ubangi Kaskazini
Mahali paMkoa wa Ubangi Kaskazini
Mahali paMkoa wa Ubangi Kaskazini
Mahali pa Mkoa wa Ubangi Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mikoa
Mji mkuu Gbadolite
Eneo
 - Jumla 56,644 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,482,076

Mkoa wa Ubangi Kaskazini ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Jina linatokana na mto Ubangi.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,482,076.

Mji mkuu ni Gbadolite.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ubangi Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.