Mkoa wa Équateur
| Mkoa wa Ikweta Ekwatéli / Équateur |
|
| Mahali pa Mkoa wa Équateur katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
| Anwani ya kijiografia: 00°04′N 18°16′E / 0.067°N 18.267°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Wilaya | 7 |
| Mji mkuu | Mbandaka |
| Serikali | |
| - Gouverneur | |
| Eneo | |
| - Mkoa | 103,902 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 1,626,606 |
Mkoa wa Équateur (Mkoa wa Ikweta) ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,626,606. Mji mkuu ni Mbandaka.
Mkoa huu ulianzishwa kutokana na ugawaji mpya wa katiba ya Kongo ya 2005. Kabla ilikuwa sehemu ya jimbo la Equateur pamoja na mikoa ya sasa Ubangi-Kaskazini, Mongala, Ubangi-Kusini na Tshuapa. Kabla ya kuingizwa katika jimbo la Equateur wakati wa rais Mobutu Sese Seko iliwahi kuwa mkoa wa pekee kati ya 1962-1966 kwa jina la Cuvette-Centrale.
Eeno la mkoa huu uko katika kaskazini-magharibi ya Kongo kando la mto Kongo. Upande wa magharibi unapakana na Kongo-Brazzaville.
Sehemu kubwa ya Hifadhi ya taifa ya Lomako Yokokala iko ndani ya mkoa huu. Hifadhi hii inajulikana hasa kwa sababu hapa iko mahali pa pekee duniani wanapoishi nyani kubwa wa Bonobo wanaohesabiwa kati ya hominidi.
Picha za Équateur [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Équateur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
| +/- | |
