Mkoa wa Maniema
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Maniema |
|
| Mahali pa Mkoa wa Maniema katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
| Anwani ya kijiografia: 02°57′S 25°57′E / 2.95°S 25.95°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Wilaya | 5 |
| Mji mkuu | Kindu |
| Serikali | |
| - Gouverneur | Didier Manara Linga |
| Eneo | |
| - Mkoa | 132,520 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 1,246,787 |
Mkoa wa Maniema ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,246,787. Mji mkuu ni Kindu.
Picha za Maniema [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Maniema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
| +/- | |
