Bukavu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Bukavu | |
| Cathedrale Bukavu | |
| Mahali pa mji wa Bukavu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
| Anwani ya kijiografia: 2°30′S 28°52′E / 2.5°S 28.867°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Mkoa | Kivu ya kusini |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 245 000 |
Bukavu ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa la Kivu na mji mkuu wa jimbo la Kivu ya Kusini. Mji ina kuhusu wenyeji 245 000 na wengine 250 000 watu katika vitongoji na vijiji jirani.