Kiyama
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiyama ni neno linalotokana na Kiarabu يوم القيامة, Yawm al-Qiyāma yaani "Siku ya ufufuko" ambayo inaitwa pia يوم الدين , Yawm al-Dīn, yaani "Siku ya dini".
Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hususan Uyahudi, Ukristo na Uislamu, kutakuwa na siku ambapo Mungu ataleta ufufuko wa wafu wote pamoja na hukumu ya matendo yao.
Katika sanaa mada hiyo imetumiwa na muziki, uchoraji n.k., hasa kufuatana na Injili (Math 25:31-46).
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyama kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |