Jiografia ya Jibuti
|
|
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zizizowekewa vyanzo kuna uwezekano wa kuwekewa vikwazo na kuondolewa. (Agosti 2008) |
11°30′N 43°00′E / 11.5°N 43°E
Jibuti ni nchi yiliyo Mashariki mwa Afrika, ikipakana na Gulf of Aden na Red Sea, katikati ya Eritrea na Somalia. ‘’’Jiografia ya Jibuti’’’ inalingana kwa karibu na ile ya mataifa mengine katika Mashariki ya Afrika
Yaliyomo |
Eneo la Kijiografia[hariri]
Kilomita 13 za mpaka wa Jibuti zinapakana na Eritrea, huku kukiwa na urefu wa kilomita 337 za mpaka kati ya Jibuti na Ethiopia, na mpaka wa 58km na Somalia Kwa ujumla ina mpaka wa {506km. Pia ina pwani ya urefu wa 314km. JIbuti inakaa kaika eneo la kufana, ikiwa karibu na leni zenye shughuli nyingi zaidi duniani la meli na pia karibu na mahali pa uchimbaji mafuta nchini Saudi Arabia Jibuti pia ni ni kituo cha reli katika barabaa ya reli ya Ethiopia Jibuti.
Hali ya Anga[hariri]
Hali yake ya anga ni ya joto kiasi, na pia haina mvua (Ni jangwa).
Mteremko[hariri]
Milima iliyopo katikati ya nchi hugawa tambarare za Pwani kutoka plateau. Eneo la chini zaidi ni Ziwa Assal -155m na la juu zaidi ni Moussa Ali 2028m.Hakuna shamba la ukulima, unyunyizaji maji, mimea iliyojimeza huko au msitu. (msitu upo tu katika milima ya Goda, hasa mbuga ya Day Forest). Takribani asilimia 9 ya nchi ni malisho yeliyojimeza (1993 mashariki). Kwa hivyo Jibuti inahesabiwa kuwa sehemu ya nyasi ya Ethiopia, isipokuwa kijisehemu kinachopakana na Red Sea ambacho ni baadhi ya Jangwa la Pwani ya Eritrea amayo inajulikana kuwa njia nzuri ya uhamiaji a ndege ambao wanaweza kuwindwa[1].
Mazingira[hariri]
Matukio ya kimaumbile ni pamoja na Matetemeko ya Ardhi, Kiangazi, mawimbi kutoka Bahari ya India ambayo husababisha mafuriko na mvua kubwa. Malighafi ni pamoja na umeme kutoka kwa ardhi (geothermal energy). Eneo hili limekumbwa na uhaba wa maji safi ya kunywa na pia kugeuka kwa eneo hilo kuwa jangwa.
Jibuti ni mwanachama husika katika makubaliano ya Kitaifa kuhusu Kubadilika kwa hali ya anga, ueneaji wa jangwa, viumbe vilivyo hatarini, sheria ya bahari, kulinda kitambaa cha ozone na uharibifu wa mazingira na meli.
Ukubwa wa Eneo[hariri]
- jumla: 23000 km2
- ardhi: 22980 km2
- maji: 20km2
Madai ya Maswala ya Maji[hariri]
- contiguous zone: 24nmi
- eneo la kiuchumi pekee: 200nmi
- Bahari ya mpaka: 12nmi
Virejeleo[hariri]
|
||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||
