Januari mfiadini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Januari mfiadini (Benevento au Napoli, mkoa wa Campania, leo nchini Italia - Pozzuoli, Campania) alikuwa askofu na mfiadini wa karne ya 3
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Septemba.
Kifodini cha Mt. Januari kilivyochorwa na Girolamo Pesce.
Viungo vya nje [hariri]
- CICAP: "The Blood of St. Januarius"
- San Gennaro
- New York's Feast of San Gennaro
- The Blood Still Boils by Doug Skinner, Fate, Julai 2006
- The Skeptic's Dictionary entry on Januarius
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Januari mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |