Jimbo la Imo
| Jimbo la Imo Jina la utani la jimbo: Eastern Heartland |
||
| Takwimu | ||
|---|---|---|
| Gavana (Orodha) |
Ikedi Godson Ohakim (PDP) | |
| Tarehi lililoanzishwa | 3 Februari 1976 | |
| Mji mkuu | Owerri | |
| Eneo | 5,530 km² Kuorodheshwa-namba 34 |
|
| Idadi ya Watu Sensa ya mwaka wa 1991 |
kuoropdheshwa-13 3,934,899[1] |
|
| GDP (PPP) -Jumla -Per Capita |
2007 (kadirio) $14.21 bilioni[2] $3,527[2] |
|
| ISO 3166-2 | NG-IM | |
Jimbo la Imo ni moja ya majimbo 36 ya Nigeria na iko kusini mwa nchi hii ya Afrika Magharibi, na Owerri kama mji mkuu na mji mkubwa.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo la Imo liliumbwa mwaka wa 1976 pamoja na majimbo mengine mapya yaliyoumbwa chini ya uongozi wa marehemu mtawala wa kijeshi wa Nigeria, Murtala Muhammad, hapo awali likiwa sehemu ya Jimbo la Mashariki ya Kati. Jina la Jimbo linatokana na jina la Mto Imo [3] Jimbo lilipasuliwa mwaka wa 1991 na kuunda Jimbo la Abia, na sehemu nyingine ikabakia Jimbo la Ebonyi. Miji kuu katika Jimbo hili ni Owerri, Okigwe na Orlu. Mto Orashi una chanzo katika jimbo hii. Lugha ya mitaa ni Igbo na Ukristo ndio dini ya wengi.
Jiografia na maliasili[hariri]
Mbali na Owerri, miji mikubwa ya Jimbo la Imo ni Isu, Okigwe, Oguta, Orlu, Mbaise, Mbieri, Orodo na Orsu. Jimbo hili ni tajiri kwa mafuta yasiyosafishwa, gesi asilia na ardhi yenye rutuba kwa kilimo.
Lugha rasmi[hariri]
Kiingereza, Igbo
Serikali za Mitaa Areas[hariri]
Jimbo la Imo linajumuisha Maeneo ya Serikali za Mitaa ishirine na saba:
| width=33% | width=33% | width=33% |
Takwimu za watu[hariri]
Imo ni jimbo haswa la waaongezi wa lugha ya Igbo, wazungumzaji Waigbo wakijumuisha 98% ya watu wote.
Watu mashuhuri[hariri]
Watu mashuhuri kutoka jimbo hili ni pamoja na:
- Leo Stan Ekeh - Founder and CEO of Zinox Technologies
- Obianuju Catherine Acholonu - Critically Acclaimed Author
- Adiele Afigbo - Distinguished Historian
- Michael Echeruo - Academic, Writer, Igbo Studies
- Pats Acholonu - Supreme Court Justice
- Emmanuel Iwuanyanwu - Politician and Businessman
- Dr. Mrs. Kema Chikwe - Former Minister of Aviation
- K. O. Mbadiwe - Former Minister of Commerce and Industry
- Evan Enwerem - Former governor and former President of the Senate
- Sam Mbakwe - Former Governor
- Simeon Ekpe - Former Chief Judge
- Sylvester Ugoh - Former Minister of Science and Technology
- Christina Anyanwu - Journalist and Senator
- Genevieve Nnaji - Nollywood Actress
- Collins E. Ijoma - The first youngest U.S. Trial Court Administrator
- Onyeka Onwenu - Singer and Actress
- Dr Sir Warrior - Highlife Musician
- Chioma Ajunwa - 1996 Olympic Gold Medalist
- Ikeoha I. Iwuh - Academic, Writer, Psychology Studies
Marejeo[hariri]
- ↑ Federal Republic of Nigeria Official Gazette (15 Mei 2007). Legal Notice on Publication of the Details of the Breakdown of the National and State Provisional Totals 2006 Census (PDF). Rudishwa juu ya 2007-05-19.
- ↑ 2.0 2.1 C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database). Canback Dangel. Rudishwa juu ya 2008-08-20.
- ↑ Physical Setting: Imo State. OnlineNigeria.com. Devace Nigeria. Rudishwa juu ya 2007-08-13.
Viungo vya nje[hariri]
Kigezo:Magavana wa Jimbo la Imo {Majimbo ya {Nigeria}}
|
|
|
|---|---|
| Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Imo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |