Onyeka Onwenu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Onyeka Onwenu (alizaliwa mnamo 31 Januari 1952[1]) ni muimbaji, mwandishi wa muziki, pia ni muigizaji, mwanaharakati wa haki za kibinadamu, mwanaharakati wa masuala ya kijamii, mwandishi wa habari, mwanasiasa nchini Nigeria, pia ni jaji [2]. Ni mwenyekiti mstaafu wa baraza la sanaa na utamaduni katika jimbo la Imo .[3][4]

Mwaka 2013 aliteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa baraza la National Centre for Women Development. [5]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Onwenu alikulia katika mji mdogo unaoitwa Arondizuogu, Ideato North, Imo State, na alilelewa Port Harcourt. Ni mtoto mdogo kabisa wa kike wa mwanasiasa na mwanaharakati wa masuala ya elimu D.K. Onwenu ambaye alifariki alipokuwa na umri wa miaka minne tu,alifariki kutokana na ajali ya gari jumaa moja baada ya kuteuliwa kama waziri wa elimu,[6][7][8] amemuacha mama mjane mwenye matumaini ya kuwalea watoto watano mwenyewe baada ya familia ya marehemu kukataa mjane huyo kurithi mali za marehemu [9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Makams, Ahman. "Onyenka Onwenu: Queen Of African Pop Music", 20 October 2012. Retrieved on 21 October 2012. Archived from the original on 2013-09-25. 
  2. "Onyeka Onwenu, Toolz, MI excited about Glo X factor". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 April 2014. Iliwekwa mnamo 31 March 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Charles O'tudor Fetes Onyeka Onwenu", AllAfrica Global Media. Retrieved on 13 August 2010. 
  4. Nwangwu, Onyinyechi. "NCAC Honours Onwenu, Samanja, Others", AllAfrica Global Media. Retrieved on 13 August 2010. 
  5. "Onwenu bags FG appointment". The Nation Newspapers. 21 September 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-31. Iliwekwa mnamo 21 September 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. Amadi, Ogbonna. "Onyeka speaks at 60", Vanguardngr.com, Vanguard Media, 2 March 2012. Retrieved on 4 April 2014. 
  7. "Am I married to the father of my kids? No comment ––––Onyeka Onw". Ghanaian Agenda. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 4 April 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. Adetayo, Ayoola. "Onyeka Onwenu: 10 things about the legendary musician you need to know". (en-US) 
  9. Plight of Widows
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Onyeka Onwenu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.