Jimbo la Gombe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Gombe (jimbo))
| Jimbo la Gombe Jina la Utani la Jimbo: Mkufu katika Savannah |
||
| Mahali lililoko | ||
|---|---|---|
| Takwimu | ||
| Gavana (Orodha) |
Mohammed Danjuma Goje (PDP) | |
| Tarehi lilipoanzishwa | 1 Oktoba 1996 | |
| Mji mkuu | Gombe | |
| Eneo | 18,768 km² Kuorodheshwa-21 |
|
| Idadi ya Watu 2006 makadirio | Limeorodheshwa nambari 33 2,353,000 |
|
| GDP (PPP) -Jumla -Per Capita |
2007 (kadirio) $ 2.50 bilioni [1] $1,036[1] |
|
| ISO 3166-2 | NG-GO | |
Mahali pa Gombe katika Nigeria
Jimbo la Gombe , liko katika kaskazini mwa Nigeria, ni mojawapo ya majimbo 36 ya nchi hii; mji mkuu wake ni Gombe.
Jimbo la Gombe,ambalo jina lake la utani ni 'Mkufu katika Savannah', liliundwa Oktoba 1996 kutoka katika sehemu ya kale ya Jimbo la Bauchi na serikali ya kijeshi ya Abacha. Jimbo hili lina ukubwa wa eneo la 20,265 km ² na jumla ya idadi ya watu karibu 2,353,000 kulingana na 2006. [2] Kati ya idadi yote ya watu, takriban 7.8% ni wameambukizwa HIV[3]
Yaliyomo |
Maeneo ya utawala [hariri]
Gombe imegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa takribani kumi na moja. Nayo ni:
| width=33% | width=33% | width=33% |
Takwimu za watu [hariri]
Wakaazi wa Jimbo la Gombe ni haswa watu wa kabila la Fulani. [1]
Marejeo [hariri]
- ↑ 1.0 1.1 C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database). Canback Dangel. Rudishwa juu ya 2008-08-20.
- ↑ Nigerian Population 2006. NigerianNews. Rudishwa juu ya 2007-05-09.
- ↑ State Population and Development Programmes. Nigeria.unfpa.org. United Nations Population Fund. Rudishwa juu ya 2007-05-09.
Viungo vya nje [hariri]
Kigezo:Magavana wa Jimbo la Gombe
|
|
|
|---|---|
| Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara | |
Anwani ya kijiografia: 10°15′N 11°10′E / 10.25°N 11.167°E
| Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Gombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |