Federal Capital Territory, Nigeria
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Federal Capital Territory ni nyumbani pa mji wa Abuja, mji mkuu wa Nigeria. Territory ilianzishwa mnamo mwaka wa 1976 kutoka katika maeneo ya zamani ya Nasarawa, Niger, na Jimbo la Kogi. Ipo katikati mwa kanda ya nchi. Ipo tafauti kidogo na Majimbo mengine ya Nigeria, ambao yanaongozwa na Magavana waliochaguliwa, Eneo la Mji Mkuu wa Muungano na Utawala, ambapo kunaongozwa na waziri aliyechaguliwa na Rais.
Viungo vya nje[hariri]
|
|
|
|---|---|
| Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Federal Capital Territory, Nigeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |