Delta (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Delta
(Nigeria)

Mahali
Takwimu
Gavana Emmanuel Uduaghan (PDP)
Kuundwa 27 Agosti 1991
Mji Mkuu Asaba
Eneo 17,698 km²
Wakazi
1991 Sensa
2005
NAfasi ya 9 kati ya majimbo ya Nageria
2,570,181
4,710,214
ISO 3166-2 NG-DE

Jimbo la Delta ni jimbo la Nigeria kusini. Iko kwenye eneo la delta ya mto Niger. 1991 ilianzishwa kutokana na jimbo la awali la Bendel. Mji mkuu ni Asaba lakini mji mkubwa jimboni ni Warri.

Delta ni eneo lenye mafuta ya petroli lakini utajiri wake haujafika kwa wananchi bali mapato ya mafuta yalitumiwa hasa na serikali kuu kwa mambo ya kitaifa na pia ufisafi.

Hivyo Delta ya mto Niger imeona umgomvi mwingi kwa sababu wenyeji hawaridhiki tena.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Delta ina wilaya 25 zinazoitwa "Local Government Areas".

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Delta (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.