Jigawa (jimbo)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Jigawa katika Nigeria
Jigawa ni jimbo la Nigeria. Mji mkuu ni Dutse.
Jimbo lina maeneo ya utawala 27 ("Local Government Areas"). Haya ni Auyo, Babura, Biriniwa, Birnin-Kudu, Buji, Dutse, Gagarawa, Garki, Gumel, Guri, Gwaram, Gwiwa, Hadejia, Jahun, Kafin-Hausa, Kuagama, Kazuare, Kiri-Kasama, Kiyawa, Maigatari, Malam-Maduri, Miga, Ringim, Roni, Sule-Tankakar, Taura, Yankwashi.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jigawa (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara | |